Je wewe ni miongoni mwa mashabiki wa kundi la muziki la enzi hizo nchini Marekani la TLC? Wale wadada ambao mmoja wao, Left Eye alifariki, waliowahi kutamba na ngoma ya 'No Srubs' miaka ya 90! Wamekuja na video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la "Haters," itazame video hiyo kwa mara ya kwanza hapa:
Comments
Post a Comment