Huu hapa ni mkono mwingine wa mtayarishaji anayefanya kazi kubwa kubadilisha video za muziki wa bongo flava nchini, Hanscana kwenye wimbo wa Mimi Mars unaokwenda kwa jina la "Dedee." Icheki video hiyo kwa mara ya kwanza kutoka kwa msanii anyeibukia kabisa kwenye anga za muziki wa bongo flava Tanzania na mdogo wa cash madame 'Vanessa Mdee':
Comments
Post a Comment