VIDEO MPYA: Ed Sheeran - Galway Girl

Ed Sheeran afanya video ya wimbo wa "Galway Girl" ikiwa ni kusherehekea mafanikio ya nyimbo zake za 'Shape of You' na 'Castle on the Hill' kwenye chati za muziki duniani za Billboard huku albamu yake ikiwa ya kwanza kutangazwa kati ya albamu bora zilizoachiwa mwaka huu wa 2017 kufikia 'Platinum,' itazame video hiyo hapa:


Comments