VIDEO MPYA: Dogo Janja - Ukivaaje Unapendeza

Naamini baada ya kucheki video hii ya mpya ya Dogo Janja inayokwenda kwa jina la "Ukivaaje Unapendeza" unaweza kusema kuwa ni kweli inawezekana anawafunika kwa pamba kali akina Nedy Music, Young Killer na Young Dee kwa mujibu wa ubishi unaoendelea kwenye vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii.

Kwenye video hii mpya na nzuri naweza kusema iliyotengenezwa na mkali Hanscana wamo Ben Pol na Idris Sultan, itazame hapa chini halafu utoe maoni yako kama ni kweli Janjaro ni 'King wa Kutupia' kwa sasa kwenye gemu ya bongo flava:




Comments