Ney wa Mitego kaachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la "WAPO" ambapo ndani yake amezungumzia masuala mbalimbali yanayoendelea kwa sasa nchini Tanzania.
Humu ndani yake Nay kawachana viongozi serikali, wasanii wa muziki wa bongo flava, waigizaji wa bongo movie, pamoja na kuzungumzia matukio na kashfa kadhaa zinazoendelea Tanzania kama vile uhuru wa kuzungumza.
Ngoma amiefanyia kwenye studio yake ya FREE NATION, usikilize hapa chini:
Comments
Post a Comment