ASLAY AACHIA VIDEO YA 'NIBEBE'

Ni mwaka mwingine wa mafanikio kwa msanii Aslay baada ya kuwadhihirishia watanzania kwamba anaweza kufanya muziki akiwa mwenyewe.

Hii hapa ni video ya wimbo wa 'NIBEBE' uliandaliwa na mtayarishaji Shirko kwenye studio zake za Vibe Record, huku video ikiongozwa na Joowzey. Icheki hapa


Comments