FID Q ATOLEWA POVU NA SHABIKI




Nguli wa miondoko ya muziki wa Hip-Hop nchini Tanzania anayeliwakilisha vema jiji la Mwanza au "Rock City," Fareed Kubanda almaarufu kama "FID Q" kupitia ukurasa wake wa instagram amejikuta akitolewa povu na shabiki wake.

Povu hilo lilimtoka msanii NGOSHA THE DON kufuatia kupost picha ya msanii anayeibukia kwenye kizazi cha bongo flava huku akiwa na kiki kadhaa na kumfanya azungumziwe na kila mtu hapa mjini, HARMORAPA akiwa na shabiki wake aliyeomba kupiga naye picha, wakati alipokwenda kwenye tukio la "OPEN MIC THURSDAY".


Sinema ilianzia hapo baada ya mshabiki mmojawapo wa msanii huyo kutopendezwa na kitu hicho kwa kupost post ifuatayo:


Naye FID Q hakuvutiwa na kitendo hicho cha shabiki huyo kumpangia kitu cha kupost na kujibu kama ifuatavyo:


Wewe kama mshabiki wa muziki una ushauri gani kwa wasanii kuhangaika na kujibu post za mashabiki wao???

Comments