SAM WA UKWELI ARUDI NA 'MILELE'

Imekuwa ni muda mrefu kidogo tangu jina la Sam wa Ukweli liwemo midomoni mwa mashabiki wa muziki wa bongo flava nchini. Lakini inawezekana mwaka 2018 ukawa tofauti kwake kwani ameuanza kwa kuachia video ya wimbo wake unaokwenda kwa "MILELE" ikiwa imeongozwa na Ivan:


Comments