NINI NA NEY WA MITEGO WAMEKULETEA VIDEO YA "NIWE DAWA"

Kulikuwa na uvumi kwamba Ney wa Mitego anatoka na binti aliyekuwepo kwenye lebo ya muziki chini ya MJ Records, Nini, lakini walipoulizwa na kukanusha kwamba ni wote ni wasanii na wafanya kazi pamoja.

Pengine hii video yao mpya inayokwenda kwa jina la "NIWE DAWA" inaweza kuwa jibu. Karibu uitazame hapa ikiwa imetayarishwa kwenye studio za Free Nation na Osam, ikiiandikwa na Marioo huku ikiongozwa na Deo Abel:


Comments