Kendrick Lamar na mwanadada SZA wameshirikiana kwenye wimbo wa "All The Stars" ambao utatumika kama 'soundtrack' kwenye filamu ya Black Panther inayotajiwa kuonyeshwa kwenye majumba ya sinema mnamo Februari 16 mwaka huu.
Kwa mara ya kwanza kabisa Kendrick aliuimba wimbo huo jukwaani wakati wa mapumziko ya mchezo wa mpira wa miguu jijini Atlanta, Marekani jana Jumatatu. Itazame hapa shoo hiyo ambapo pia aliimba nyimbo za DNA, Humble na Element:
Comments
Post a Comment