Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake wa "WAKA" ambao amemshirikisha msanii kutokea nchini Marekani, Rick Ross, wote wakiwa ni mabalozi wa kinywaji cha BELAIRE. Video ya nyimbo hii iliyotayarishwa kwenye studio za WCB Wasafi chini ya Laizer imeongozwa na Mr. Moe Musa. Itazame hapa kwa mara ya kwanza:
Comments
Post a Comment