MTAZAME ENOCK BELLA AKILALAMIKA KWENYE VIDEO HII MPYA YA 'NITAZOEA'

Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya kwanza ya 'SAUDA' ikiwa ni kazi yake akiwa pekee yake mbali na Yamoto Band, Enock Bella ameachia video mpya ya wimbo wake wa pili ikienda kwa jina la 'NITAZOEA.' Karibu uitazame hapa:


Comments