MAFIKIZOLO WAACHIA VIDEO MPYA WALIYOMSHIRIKISHA YEMI ALADE

Kundi la muziki kutokea Afrika ya Kusini, Mafikizolo wameachia video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la "OFANA NAWE" wakiwa wamemshirikisha Yemi Alade.


Comments