Ikiwa yamebakia masaa machache kabla ya mwaka 2017 kuisha, Fid Q anakukaribisha kutazama video ya wimbo wa 'Fresh Remix' ambao kutokana na mistari yenye utata ya Diamond Platnumz ndani yake, uliufanya kuzungumziwa sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari:
Comments
Post a Comment