VIDEO MPYA: Mr. P - For My Head

Mmojawapo wa 'memba' wa kundi la muziki la P Square linaloundwa na wanandugu mapacha Peter na Paul, Mr. P ameachia video ya wimbo wake wa pili baada ya 'Cool It Down' inayokwenda kwa jina la "FOR MY HEAD." Itazame hapa:



Comments