VIDEO MPYA: Aslay - Hauna

Kuna uwezekano mkubwa mashabiki wa msanii Aslay watakuwa wamechoka kuhesabu idadi ya nyimbo anazoziachia na badala yake wanasikilizia tu uwezo wa msanii huyo. Hii hapa ni video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "HAUNA," itazame hapa:


Comments