ROSA REE AACHIA VIDEO YA WIMBO WAKE WA KWANZA BILA YA NAVYKENZO

Baada ya kuachana na lebo ya muziki iliyokuwa ikisimamia kazi zake kwa takribani maika mitatu, The Industry ambayo ipo chini ya wanamuziki Nahreel na Aika, Rosa Ree ameachia video ya wimbo wake wa "DOW" ambao aliuachia kipindi kifupi kilichopita.

Wimbo huo umetayarishwa na Lufa kutokea studio za Wanene huku video ikiongozwa na Khalfan Khalmandro, itazame hapa chini kwa mara ya kwanza:


Comments