EMINEM AACHIA WIMBO MPYA WA "WALK ON WATER" AKIWA NA BEYONCE

Hakuna shaka msanii nguli wa Hip Hop kutokea nchini Marekani, Marshal Mathers au Eminem kwamba ni mwanamuziki mwenye uweko mkubwa kiuandishi kuwahi kutokea.

Hivi karibuni Eminem aliviteka vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kupitia 'freestyle' aliyoifanya kwenye tunzo za BET HIP HOP AWARDS mwaka huu ambapo alimzungumzia Rais wa Marekani wa sasa Bw. Donald Trump.

Eminem ameachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la "WALK ON WATER" akiwa amemshirikisha Beyonce, usikilize hapa:


Comments