WIMBO MPYA: Gosby ft Izzo B - Oh Noo

Kimya kirefu tangu wapenzi wa muziki wa bongo flava wamsikie Gosby hewani, huu hapa ni wimbo wake mpya ukienda kama 'Oh Noo' ambapo Izzo B ameshirikishwa ndani yake. 'Beat' ya wimbo huu imetengenezwa na mtayarishaji mkubwa wa nchini Marekani 'Cash Money AP' huku mixing na mastering zikifanywa na Yudi, isikilize hapa kwa mara ya kwanza:


Comments