Watayarishaji wa muziki wakubwa barani Amerika na Afrika, Major Lazor (Marekani) na DJ Maphorisa (Afrika ya Kusini) wamewakutanisha wasanii tofauti katika video ya wimbo "Particular" ambao unafanya vizuri sana kwenye kumbi mbalimbali za starehe. Kwenye wimbo huu wamaeshirikishwa wasanii mbalimbali Afrika kama vile Nasty C (Afrika ya Kusini), Ice Prince na Patoraking (Nigeria) na Jidenna ambaye ni mwanamuziki wa Kimarekani mzaliwa wa nchini Nigeria. Itazame hapa kwa mara ya kwanza:
Comments
Post a Comment