VIDEO MPYA: John Legend ft Chance The Rapper - Penthouse Floor

John Legend ameachia video ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la "Penthouse Floor" akiwa amemshirikisha msanii anayefanya vizuri kwenye mziki wa Hip-Hop, akiwakilisha vema jimbo la Chicago nchini Marekani, Chance the Rapper.


Comments