VIDEO MPYA: IceBoy ft Aslay - Umenishika

Baada ya kufanya vizuri na wimbo wa 'Binadamu' aliomshirikisha Nandy, IceBoy amerudi tena na wimbo mpya pamoja na video kabisa ya wimbo unaokwenda kama "Umenishika" akiwa amemshirkisha Aslay. Itazame hapa:


Comments