VIDEO MPYA: WCB WASAFI (DIAMOND PLATNUMZ, RAYVANNY, HARMONIZE, RICH MAVOKO, LAVA LAVA, QUEEN DARLEEN & MAROMBOSO) - ZILIPENDWA

Baada ya kuahidi kwamba kuna wimbo wa pamoja utakuja ukiwa umewashirikisha wasanii wote wa kundi la WCB WASAFI sasa yametimia.

Hii hapa ni video ya wimbo mpya wa kundi hili ilikiwa linaundwa na DIAMOND PLATNUMZ, RAYVANNY, HARMONIZE, RICH MAVOKO, LAVA LAVA, QUEEN DARLEEN na MAROMBOSO ukiwa unaendwa kwa jina la "ZILIPENDWA."

Kama unakumbuka WCB walitangaza usajili wa msanii Maromboso kutokea YAMOTO BAND basi kwenye wimbo huu ameimba kwa mara ya kwanza.

Maudhui ya wimbo huu umejaribu kuzungumzia masuala mbalimbali yaliyowahi kutokea kipindi cha nyuma ambapo kwa sasa yamekwishapitwa na wakati, kuanzia mashairi mpaka namna video ilivyotengenezwa inasawiri mazingira hayo. Itazame hapa kwa mara ya kwanza:


Comments