VIDEO MPYA: Wale ft Majer Lazer, WizKid & Dua Lipa - My Love

Kutokea kwenye albamu yake mpya ya SHINE, msanii Wale kutokea nchini Marekani ambaye ana asili ya Nigeria ameachia video ya wimbo mpya "My Love" akiwa amewashirikisha wasanii Majer Lazer, WizKid & Dua Lipa.



Comments