Baada ya kimya kirefu tangu aachie ngoma ya 'Namjua,' Shetta ametuletea video ya wimbo wake mpya unaojulikana kama "Wale Wale." Kwenye video hii yenye mahadhi ya mduara wanaonekana wasanii Jackline Wolper, Kajala Masanja na Idris Sultan, itazame hapa kwa mara ya kwanza:
Comments
Post a Comment