Rayvanny anaendelea kuachia ngoma baada ya ngoma zenye ujumbe mkali huku zikisindikizwa na video kali. Hii hapa ni video ya wimbo mpya wa msanii huyo kutokea kwenye timu kubwa ya wasanii wa WCB inayokwenda kwa jina la "Chuma Ulete" ikiwa imeongozwa na Eris Mzava:
Comments
Post a Comment