VIDEO MPYA: Madee ft Tekno - Sikila

Mashabiki wengi wa muziki wa bongo flava tumezoea kuona sura za wanamuziki na watu halisi kwenye video zao nyingi lakini safari hii Madee ameonyesha uthubutu kwa kufanya video ya wimbo wake mpya wa "SIKILA" aliomshirikisha Tekno kutokea nchini Nigeria kwa njia ya vikatuni au 'animation.' Itazame hapa:


Comments