VIDEO MPYA: Lulu Diva - Give It To Me

Ikiwa haijapita muda mrefu tangu aachie video ya wimbo wa 'Utamu,' msanii wa kike anayoenyesha nia ya dhati kwenye gemu hili la bongo flava, Lulu Diva ameachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la "Give It To Me," hii hapa ni video yake itazame:


Comments