VIDEO MPYA: Jux - Utaniua

Jux ametuletea video ya wimbo wake mpya inayokwenda kama "Utaniua," ikiwa ni haujapita muda mrefu tangu aliyekuwa mpenzi wake msanii Vanessa Mdee kuweka hadharani kwamba wameachana. 

Itazame hapa chini kwa mara ya kwanza:




Comments