VIDEO MPYA: Chris Brown - Questions

Chris Brown ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kama "Questions" ukiwa na vionjo vya nyimbo ya Kevin Little 'Turn Me On' uliowahi kutamba mwanzoni mwa miaka ya 2000.


Comments