VIDEO MPYA: Chin Bees - Kababaye

Chin Bees ametuletea video ya tatu akiwa chini ya usimamizi wa Wanene Entertainment, wimbo unaitwa "Kababaye." Itazame hapa video hiyo iliyoongozwa na Destro huku wimbo ukitayarishwa na Luffa.


Comments