VIDEO MPYA: Beka Flavour - Sikinai

Ni mwendo wa kuonyeshana uwezo tu kutoka kwa wasanii wa YAMOTO BAND baada ya kupewa ruhusa ya kila mtu kufanya kazi peke yake. 

Baada ya kufanya vizuri na bado kuendelea kufanya vizuri kwa wimbo wake wa kwanza wa 'Libebe,' Beka Flavour hajataka kuonyesha unyonge kwani Aslay anaachia wimbo baada ya wimbo kila kukicha. Hii hapa ni video ya wimbo wake mpya unaokwenda kama "Sikinai," utazame:


Comments