VIDEO MPYA: Aslay - Likizo

Ni ngoma juu ya ngoma tu kutoka kwa Aslay baada ya kupewa ruhusu kila msanii wa YAMOTO BAND kufanya kazi mwenyewe. Hii hapa ni video ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la "Likizo."


Comments