Baada ya kutamba kwa muda mrefu na wimbo wa 'Aje' ambao aliufanyia video mbili tofauti, Alikiba au King Kiba kama anavyopenda kuitwa na mashabiki wa muziki wake ametuletea video mpya.
Wimbo huu mpya unaokwenda kwa jina la "Seduce Me" umetengenezwa na mtayarishaji Man Water kupitia studio zake za Combinations Sound. Itazame video yake hapa kwa mara ya kwanza:
Comments
Post a Comment