Baada ya kimya kirefu kwenye muziki wa bongo flava, msanii mkongwe na aliyewahi kutikisa ukanda wa Afrika ya Mashariki na mtindo wake wa TAKEU, Mr. Nice ameibukia kwenye video ya wimbo mpya wa msanii kutokea WCB, Harmonize unaokwenda kwa jina la "SINA."
Itazame video hiyo hapa:
Comments
Post a Comment