VIDEO MPYA: Barnaba - Tunafanana

Kimepita kimya kidogo tangu Barnaba Boy Classic awe kimya kutokutoa ngoma mpya, sasa amerudi na video mpya inayokwenda kwa jina la "Tunafanana," amefanya na Msafiri wa Kwetu Studios, itazame hapa kwa mara ya kwanza:


Comments