Baada ya kurushiana maneno mtandaoni baina ya wasanii na wakali wa freestyle kwenye muziki wa hip hop nchini Tanzania, Wakazi na Godzilla, bifu hilo limefikia hatua hii kwani msanii Wakazi amechia 'diss-track' kwa Godzilla kupitia ngoma hii inaokwenda kwa jina la "Zillnass Zillnass (Clown Rapper)," itazame hapa kwa mara ya kwanza:
Comments
Post a Comment