VIDEO MPYA: Navy Kenzo ft Patoranking - Bajaj

Kundi la muziki wa bongo flava linaloundwa na wanamuziki wawili, Aika na Nahreel wameachia video ya wimbo wake mpya "Bajaj" wakiwa wamemshirikisha msanii kutokea nchini Nigeria, Patoranking. Itazame hapa kwa mara ya kwanza:



Comments