VIDEO MPYA: G NAKO - LUCKY ME

G Nako ameamua kuja na video yenye wazo tofauti kabisa ukilinganisha ni nyingi zilizopo kwenye soko kwa sasa. Katika hii mpya ya "Lucky Me" iliyofanywa na Hanscana, msanii huyo ambaye pia ni miongoni wa wanaounda kundi la WEUSI, ameonekana kuzungumzia matatizo mbalimbali yanayowakabili binadamu huku akistaajabu yeye namna alivyo na kujiona mwenye bahati. Itazame hapa:

  

Comments