Diamond Platnumz siku ya leo Jumatanio ya Juni 21 ameachia nyimbo mbili kwa mpigo ikiwa ni utaratibu waliowekeana na lebo ya muziki ya Universal Records aliyopo sasa ambapo kila ikifika tarehe hiyo lazima aachie ngoma. Mojawapo ya wimbo alioutambulisha kwa mashabiki wake ni huu hapa unakwenda kwa jina la "I miss you."
Kwa mujibu wa maelezo yake Chibu anasema ngoma hii alikwishairekodi mwaka mmoja uliopita bali aliamua kuipotezea kwa muda kutokana na kuvujishwa bila ya yeye mwenyewe kupenda. Itazame video yake hapa kwa mara ya kwanza:
Comments
Post a Comment