Katika kusherehekea siku ya akina baba dunia, msanii wa muziki wa hip-hop kutokea nchini Afrika ya Kusini, Cassper Nyovest ameachia video ya wake mpya unaokwenda kwa jina la "Superman" akiwa ameshirikiana na Tsepo Tshola. Mashairi ya wimbo huu yameandikwa kwa ustadi wa hali ya juu katika kumshukuru baba yake (pamoja na akina baba wote duniani) kwa malezi yote na mambo aliyomfanyia tangu akiwa mtoto mdogo mpaka amekua. Itazame hapa na ufurahie:
Comments
Post a Comment