VIDEO MPYA: Ben Pol ft Darassa - Tatu

Baada ya kupata 'kiki' na kuzungumziwa vya kutosha kutokana na picha za nusu utupu alizokuwa anazisambaza kwenye mitandao ya kijamii ikiwa ni jitihada za kuitangaza ngoma yake ya "TATU," hatimaye video hiyo imeachiwa rasmi.

Itazame hapa kwa mara ya kwanza video ya wimbo wa Ben Pol aliomshirikisha Darassa ambao ulifanywa na mtayarishaji Tiddy Hotter na kuongozwa na Hanscana:


Comments