C4 Pedro ft Sauti Sol - Love Again June 14, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Kama wewe ni mmojawapo wa mashabiki wa kundi la muziki kutokea nchini Kenya, Sauti Sol, basi hawa hapa wameshirikishwa na msanii kutokea nchini Angola anayekwenda kwa jina la C4 Pedro kwenye ngoma ya "Love Again." Itazame hapa nimekuwekea: Comments
Comments
Post a Comment