WIMBO MPYA: Dogo Janja - Ukivaaje Unapendeza

Dogo Janja kadondosha ngoma mpya akizungumzia pamba anazotupia na namna gani anazipangilia mpaka anapendeza machoni pa watu wengi. Hakuna kwa sasa anayeweza kubisha kwamba Janjaro amekuwa akiwakimbiza wasanii wa muziki wa bongo flava kwa kuvaa.

Isikilize ngoma yake hapa ikiwa imetayarishwa na Daxo Chaa wa MJ Records:


Comments