Young Dee, Young Dar es Salama au PAKA RAPPER kama anavyopenda kujulikana na mashabiki wake wa muziki nchini, ameachia video ya wimbo wake wa "Bongo Bahati Mbaya au BBM" ambao 'audio' yake aliiachia siku chache zilizopita.
Inaonekana Young Dee amerudi kivingine na kutarajia kufanya mambo makubwa zaidi ukizingatia yupo chini ya usimamizi wa mtayarishaji wa muziki anayefanya poa kwa sasa Tanzania, T TOUCH. Itazame video hapa kwa mara ya kwanza ikiwa imeongozwa na Kwetu Studio:
Comments
Post a Comment