VIDEO MPYA: Shilole ft Iyo - Hatutoi Kiki (Remix)

Bad Girl Shishi karudi tena kwa mara nyingine na kichupa kipya cha "Hatutoi Kiki Remix" ambamo ndani yake kawaweka Qwisa wa Shilawadu na Sam Missago kwamba hatoi kiki za kizembezembe. Itazame video hapa chini:


Comments