VIDEO MPYA: Bellen 9 ft G Nako - Ma ole

Baada ya kufanya vizuri kwenye kolabo yao ya 'Give It To Me,' wasanii Belle 9 na G Nako wamekuja na ngoma nyingine mpya inayokwenda kwa jina la "Ma ole." Itazame video yake hapa ikiwa imeongozwa na Hanscana:




Comments