NYIMBO MPYA; Harmorapa ft CPwaa & Ronei - NUNDU

Kama kawaida yake Harmorapa ameendelea kutoa ngoma zenye mashairi yenye utata, safari hii amekuja na ngoma mpya inayokwenda kwa jina la "NUNDU" akiwa amewashirikisha wasanii CPwaa na Ronei chini ya utayarishaji wa Luffa.

Ndani ya ngoma hii wametajwa mastaa kibao wa kike akiwemo Wema, Lulu, Wolper na wengineo, isikilize hapa kwa mara ya kwanza:


Comments