VIDEO MPYA: OMG ft Barakah The Prince - Uongo na Umbea

Wasanii wa kundi la muziki la OMG linaloundwa na Salmin Swaggz, Con Boi na Young Lunya wameachia video ya wimbo wao wa "Uongo na Umbea" waliomshirikisha Barakah The Prince. Wimbo huo ulitengenezwa na mtayarishaji Luffa wakati bado akiwa Switch Records na video kuongozwa na Khalfani Khalmandro.

Hawa ndio wasanii wakali kwa sasa wanaofanya muziki wa aina ya 'TRAP' kwa sasa nchini Tanzania, kama hauamini cheki 'flows' zao kwenye video hii hapa:


Comments