Naweza kusema hili ni mojawapo la kundi linalofanya vizuri zaidi katika miondoko ya muziki wa 'trap' nchini Tanzania, likiwa linajulikana kama OMG! Unaipata ngoma ya 'Nikipata gari' aliyoshirikishwa Country Boy?
OMG wamekuja tena kivingine na bonge la 'banger' ndani yake akiwemo Barakah The Prince, wimbo unakwenda kwa jina la "Uongo na Umbea" ikiwa imefanyika Switch Records, isikilize hapa chini:
Comments
Post a Comment